Monday 7 April 2014

Mwili wa Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa umetupwa


MWILI wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam. Pembeni ya mwili huo, ulikutwa ufunguo wa Bajaj yake ambayo ilikutwa imetelekezwa barabarani jirani na mwili wa marehemu ulipokutwa.

chanzo:globalpublishers

No comments:

Post a Comment