Saturday 25 February 2012

MWEE!! " LILIAN TAIRO NA SHILOLE KWELI WAMEUMBWA"



Mnyonge mnyongeni haki yake apewe, wadada hawa kweli wameumbwa au MDAU UNASEMAJE?

3 comments:

  1. huo ni mtazamo wa mtu kama wako na ningependa kwanza ufafanue neneo kuumbwa maanke je wewe hujaumbwa?

    ReplyDelete
  2. Acha bwana kwani hujaelewa nini? hawa wadada ingawa ndio mara yangu ya kwanza kuwaona, wako bomba sio mchezo. Hongereni wadada wazuri. keep ur heads up.

    ReplyDelete