Friday 24 February 2012

MASKINI NA MATAJIRI SIO KWENU TU! HATA KWETU WAPO!!!!




Umaskini bado ni tatizo kubwa barani afrika,nani wakulaumiwa kati ya serikali au wananchi?
tukianza kulaumu hatutofika kinachotakiwa kila mwananchi awaze jinsi kupunguza au kukomboea sehemu zilizozidi umaskini.Tuache kuosha majina kwenye mabendi au kwenye mabaa, tukaoshe majina vijijini na tulio mjini tupeleke nguo,vyakula na pesa iwe vikundi au mtu binafsi tutafika tu.DUNIA NI KUELIMISHANA

No comments:

Post a Comment